Mfumo wa WhatsApp wenye follow-up za kiotomatiki na usimamizi wa wateja (CRM) — Uliotengenezwa Mahususi kwa biashara za Tanzania.
Zaidi ya Biashara 50+ Tanzania tayari zinatumia VIC SALES ENGINE kuongeza mauzo yao mara tatu zaidi bila kupoteza pesa wala muda.
Haya ndiyo matatizo unayokutana nayo kila siku kwenye biashara yako.
Zana zote ndani ya mfumo mmoja.
Kila mteja anayekutafuta WhatsApp anaingia moja kwa moja kwenye mfumo. Haugusi chochote. Haupotezi hata mteja mmoja.
Mfumo unamkumbusha mteja kwa wakati. Saa 1. Saa 24. Siku 3. Wewe unaendelea na kazi. Mfumo unafuatilia.
Malipo yako yanaingia moja kwa moja. M-Pesa. Tigo Pesa. Airtel Money, au benki. Kila kitu kinakuwa kwenye dashibodi moja. Huchanganyikiwi tena.
Unaona kila hatua ya safari ya mteja wako. Historia yake. Hatua yake. Kama ni Mpya. Moto. Au Amelipa. Haubahatishi tena. Unajua nani wa kumfuatilia na kwa muda gani.
Unakuwa na hesabu za kweli za kila siku. Leads wangapi wameingia. Wangapi wamelipa. Wapi unapoteza mauzo. Data zote zinakuwa wazi. Hivyo inakusaidia kufanya Maamuzi sahihi.
Unapata uthibiti wa wafanyakazi wako. Unaona nani anamfuatilia nani. Nani anauza zaidi. Kila kitu kinakuwa kiko wazi.
Hauhitaji fundi wa IT. We Unaanza kutumia moja kwa moja.
Bonyeza kitufe cha “Pata Demo” na utuambie kidogo kuhusu biashara yako, na changamoto yako kubwa. Nasi tutakujibu ndani ya dakika 30 na kukuonyesha mfumo unavyofanya kazi,na jinsi utakavyokusaidia.
Timu yetu itatengeneza mfumo wako — ikijumuisha WhatsApp number yako, templates za ujumbe, na mtiririko wa follow-up kulingana na aina na changamoto ya biashara yako.
Leads zinanaswa. Mfumo unafuatilia. Malipo yanaingia. Wewe unafanya kitu kimoja tu — kufunga mauzo.
Baada ya siku 30 mauzo yanaongezeka mara 3 zaidi. Follow-up haikatiki. Hakuna mteja anayesahaulika.
Asilimia 80 za Leads zilizokuwa zinapotea, sasa zinafika hatua ya malipo. Mfumo unawafuatilia hadi mwisho.
Wafanyabiashara wanaotumia mfumo wetu wanashuhudia kuokoa wastani wa masaa 5 kila siku kwa sababu ya automation —na kupata muda zaidi kwa ajili ya mambo ya msingi ya biashara zao.
Lipa mara moja kwa setup, kisha kiwango kidogo kila mwezi. Hakuna ada zilizofichwa.
Mara moja tu · Inategemea ukubwa wa biashara
Kwa mwezi · Inaweza kubadilika kwa ukubwa wa biashara
ℹ️ Kumbuka: Bei hutegemea ukubwa wa biashara yako na idadi ya watumiaji. Wasiliana nasi kwa nukuu ya kibinafsi.
Biashara za Tanzania zinaongelea matokeo halisi.
Jiunge na biashara 50+ za Tanzania ambazo tayari zinaongeza mauzo yao
kwa kutumia Vic Sales Engine. Demo ni bure, setup ni ndani ya masaa 24.
Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.